Skip to main content
All CollectionsPendwaBaba Olivia
Kulipia Baba Olivia kwa simu
Kulipia Baba Olivia kwa simu

Learn how to pay by mobile money in order to watch Baba Olivia (Swahili instructions).

Jovin Mwilanga avatar
Written by Jovin Mwilanga
Updated over 6 months ago

Sehemu ya kwanza (Episode 1) na ya pili (Episode 2) ya Baba Olivia ni bure kabisa. Unaweza kuanza kufurahia tamthilia hii mashuhuri kabisa leo hapa Pendwa kwa kwenda kwenye ukurasa rasmi wa Baba Olivia.

Maelekezo ya kukodi au kununua tamthilia ya Baba Olivia ni kama maelekezo ya kukodi au kununua filamu na sehemu ya tamthilia yoyote hapa Pendwa. Unaweza kupata maelekezo kamili hapa chini.

Muongozo zaidi

Did this answer your question?