Skip to main content
Kuangalia Baba Olivia

Learn how to watch Baba Olivia TV Series on Pendwa (Swahili instructions).

Jovin Mwilanga avatar
Written by Jovin Mwilanga
Updated over 6 months ago

Habari na karibu. Sehemu ya kwanza (Episode 1) na ya pili (Episode 2) ya Baba Olivia ni bure kabisa.

Kabla haujaendelea, je umeshajiunga (kutengeneza akaunti) na Pendwa? Kama bado basi tumekuwekea malekezo yote hapa.

Unaweza kuanza kufurahia tamthilia hii mashuhuri kabisa leo hapa Pendwa kwa kwenda kwenye ukurasa rasmi wa Baba Olivia.

Kama una maswali kuhusu kulipia sehemu (episodes) nyingine za Baba Olivia, unaweza kupata muongozo hapa.

Muongozo zaidi

Pata taarifa kuhusu application zetu rasmi za Pendwa hapa.

Did this answer your question?